Posts

Showing posts from July, 2020

FAIDA YA MAFUTA ASILI YA MNYONYO

*MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ).    Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::; 1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu 2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili 3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele 4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja 5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne 6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara 7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi 8: Hutibu matatzo yote ya ngozi 9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama 10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi k...